myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,134
I like him too.I like him.
Waelewe wazee basi wanachomaanisha, hii haikuwa simu ya kisayansi kama uliyoizoea. Tango yamaanisha uume na asali yamaanisha uke, ukivichanganya pamoja hivi nadhaNi unaelewa kinamaanisha nini. Wazee wa zamani walibeba mafumboSasa hivyo viungo vikichanganywa mlaji anakata moto ASAP?
Nilishajaribu kutaka kuchovya kipande cha tango kwenye asali aisee nilikanywa na kugombezwa mno kwamba ningekufa mara moja. Ni imani iliyoenea katika makabila mengi.
Binafsi nimefurahi kuona wanasayansi wakiisambaratisha...japo nawe umekuja na ngonjera zako zisizo na kichwa wala miguu [emoji16][emoji2099][emoji2099]
[emoji16][emoji16]kuna sheria zipitiwe upyaAliyekutwa na nyama ya swala alipigwa mvua 22. Huyu wa nyama ya nembo ya taifa kama siyo kunyongwa mpaka kufa basi ni kifungo cha maisha bila parole!
🙌🙌🙌.I like him too.
Giancarlo Esposito is a very talented actor.
Iringa nyama bei rahisi sana sio mbuzi tu[emoji16][emoji16]