Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Umenifungua macho ila mi pia nilishangaa maana hua wanasema asali na limau ila la tango tena alooo.Siku nyingine hayo maneno muyaelewe na hao wataalamu wasitumie elimu kutoa maana ya kitu ambacho hakijamaanishwa kwenye taaluma yao. Hayo maneno ya wazee wa zamani, Tango ni kiungo cha uzazi na asali ni kiungo cha uzazi
😂😂😂You too...Not me!?
This is just sad! 😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
Asavali maana presha tayari ilikuwa ishapanda hapa 😁😁😁💪😂😂😂You too...
Aisee 🤣
Sawasawa