Mlimani city 🙄😬
Got it
Sawa mkuu 🙏🏿Waelewe wazee basi wanachomaanisha, hii haikuwa simu ya kisayansi kama uliyoizoea. Tango yamaanisha uume na asali yamaanisha uke, ukivichanganya pamoja hivi nadhaNi unaelewa kinamaanisha nini. Wazee wa zamani walibeba mafumbo
Hizi simu hizi we acha tu. Ni uraibu hatari sana!
😁😁😁😁😁😁
Mchambuzi [emoji23][emoji23]View attachment 2826911