Mkuu hilo chupa unalo
Eti pira la simba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ni papatu papatu tu utafikiri pira la Simba hata wanachofanya hakieleweki. Dogo anataka ajaribu mambo mengi kwa muda mfupi [emoji706]
View attachment 2825009
Yan kuna kipind unasem subir nifanye body and mind cleansing then boooom connection ya nguvu inakuja mjini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku ...tunaliokota direct from Kwa mti[emoji23]Hili sasa ndo parachichi...
Haya tunayouziwa sokoni ni GMO...
Ladha sifuri, yanaharibika haraka.
Hivi kwanini hayo hayaletwi mjini jamani hata wauze 1 elfu 2 nanunua.
Ni kama sasa hivi, kupata embe Dodo asilia sokoni ni kipengele.
Naishia kula mabolibo ya Tabora na yenyewe yamechakachuliwa vilevile.