Wamefyata wapi? 😳😳😳Furaha yangu ni yangu[emoji3059]
Yanga kufungwa tatu bila[emoji419]
Aibu jamani,aibu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyie yanga wamefyata[emoji40]
Ulikuwa umeshazaliwa hili tukio lilipotokea? Simba ilikuwa inapiga hili pira papatu papatu la akina Mwamba wa Lusaka? 😁😁😁
Ninalo ila hakuna cha maana wanachofanya. Ni papatu papatu tu kama pira la Simba. Dogo anahangaika na style kama zote kwa muda mfupi...mpaka kuchezea kisamvu kwa dole 🙈Mkuu hilo chupa unalo