Japo wanasema mambo ya uwanjani hayapelekwagi mahakamani lakini huyo mchezaji alipaswa kushitakiwa mahakamani kwa udhalilishaji huo mkubwa
Jaribu kuchunguza utagundua kwamba baadhi ya wateja wako wa kiume ni wagongwa feki, yaani wajifanya wanaumwa ili waje kwako uwapime
Hata mimi nimeshangaa!
Mbona baharia NUHU simuoni hapo? Na kwa mlango huo mdogo wa safina tembo ataweza kuingia kweli?😄😄😆
Lubumbashi
Hapo Usikute kuna mmoja alikuwa kamuelewa huyo Mrembo hivyo kujikuta akifata ule Usemi wetu Wazee "Ukipenda Chongo huita Kengeza"