Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mambo mengine yanashangaza sana. Unauliwa kisha mnabishania ukubwa wa tako 😳Hapo Usikute kuna mmoja alikuwa kamuelewa huyo Mrembo hivyo kujikuta akifata ule Usemi wetu Wazee "Ukipenda Chongo huita Kengeza"