Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

memes_comedy_tz_20231103_4.jpg
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Whozu kutojihusisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi sita pamoja na faini ya TZS milioni 3 baada ya kuchapisha video ya Ameyatimba (Remix) ambayo imeelezwa kukiuka maadili pamoja na vitendo vya unyanyasaji, ukatili, na udhalilishaji wa utu wa mwanamke.

Pia, BASATA imewafungia Mbosso na Billnass, ambao walishirikishwa kwenye wimbo huo, kwa kipindi cha miezi mitatu kutojihusisha na sanaa pamoja na faini ya TZS milioni 3 kila mmoja.
FB_IMG_1699174933570.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Whozu kutojihusisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi sita pamoja na faini ya TZS milioni 3 baada ya kuchapisha video ya Ameyatimba (Remix) ambayo imeelezwa kukiuka maadili pamoja na vitendo vya unyanyasaji, ukatili, na udhalilishaji wa utu wa mwanamke.

Pia, BASATA imewafungia Mbosso na Billnass, ambao walishirikishwa kwenye wimbo huo, kwa kipindi cha miezi mitatu kutojihusisha na sanaa pamoja na faini ya TZS milioni 3 kila mmoja.View attachment 2804556

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikaitafute hiyo nimeyatimba nione kwa nini wameitimba. Wafungie yote ila watuachie tu hanii haniii ya Zuchu 🎶🎶🎶😁😁🔥

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Whozu kutojihusisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi sita pamoja na faini ya TZS milioni 3 baada ya kuchapisha video ya Ameyatimba (Remix) ambayo imeelezwa kukiuka maadili pamoja na vitendo vya unyanyasaji, ukatili, na udhalilishaji wa utu wa mwanamke.

Pia, BASATA imewafungia Mbosso na Billnass, ambao walishirikishwa kwenye wimbo huo, kwa kipindi cha miezi mitatu kutojihusisha na sanaa pamoja na faini ya TZS milioni 3 kila mmoja.View attachment 2804556

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hao eti ndiyo wasomi. Aje awe waziri ataacha kuiba kama mentality ni hii? Trash!
View attachment 2804550View attachment 2804551View attachment 2804552
Imagine mtu yutong anapandia dirishani. Africa ustaarabu bado hauridhishi kabisa. Hata kama ni ugumu wa maisha lakini tujitahidi kustaarabika na dhiki zetu.

Kuna siku nilienda kwenye semina ulivyofika mda wa kula watu wanakimbizana kama nyumbu (Mungu naomba anisamehe kwa hili) kama vile hawajawahi kula/kula kuku na chai ya maziwa tangu wazaliwe. Halafu watu wazima kabisa. Next day ilibidi mc asimamie show, anasimamisha mstari kwa mstari. Aisee hadi raha hakukuwa na fujo wala kusukumana kama watoto wa shule bweni!!
 
Mara yangu ya kwanza nimefika huko kwa wenzetu basi likaja. Kulikuwa na watu kibao na kulikuwa na manyunyu lakini watu wako calm. Wakaingia kwa ustaarabu sana bila kusukumana basi likajaa kiasi likaondoka. Kumbe kuna monitor inaonyesha basi jingine lipo dakika tatu nyuma ya hili na kuna schedule inajulikana. Ukilikosa hili utapanda linalokuja baada ya dakika mbili au tatu. Ndo nikaanza kujua tofauti yao na sisi....hata kwenye attitude tu na mambo ya kawaida tu haya ya ustaarabu wa msingi...

UDOM hawa hawa wanalalamika vyoo vichafu wakisingizia hakuna maji lakini hata maji yakiwepo si ajabu mtu kutumia makaratasi magumu na hata magunzi ya mahindi wakati ni choo cha maji. Na huyu ndiye msomi! Bado tuna kasafari karefu (kama tumo safarini!)
 
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemfungia mwanamuziki Whozu kutojihusisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi sita pamoja na faini ya TZS milioni 3 baada ya kuchapisha video ya Ameyatimba (Remix) ambayo imeelezwa kukiuka maadili pamoja na vitendo vya unyanyasaji, ukatili, na udhalilishaji wa utu wa mwanamke.

Pia, BASATA imewafungia Mbosso na Billnass, ambao walishirikishwa kwenye wimbo huo, kwa kipindi cha miezi mitatu kutojihusisha na sanaa pamoja na faini ya TZS milioni 3 kila mmoja.View attachment 2804556

Sent using Jamii Forums mobile app
Sema kile kichupa nilikiangalia kimoyomoyo nkasema dah
 
Mara yangu ya kwanza nimefika Marekani basi likaja. Kulikuwa na watu kibao na kulikuwa na manyunyu lakini watu wako calm. Wakaingia kwa ustaarabu sana bila kusukumana basi likajaa kiasi likaondoka. Kumbe kuna monitor inaonyesha basi jingine lipo dakika tatu nyuma ya hili na kuna schedule inajulikana. Ukilikosa hili utapanda linalokuja baada ya dakika mbili au tatu. Ndo nikaanza kujua tofauti yao na sisi....hata kwenye attitude tu na mambo ya kawaida tu haya ya ustaarabu wa msingi...

UDOM hawa hawa wanalalamika vyoo vichafu wakisingizia hakuna maji lakini hata maji yakiwepo si ajabu mtu kutumia makaratasi magumu na hata magunzi ya mahindi wakati ni choo cha maji. Na huyu ndiye msomi! Bado tuna kasafari karefu (kama tumo safarini!)
Wenzetu wako na ustaarabu sana. Nishapata story ming tu kutoka kwa watu wa karibu waliofika huko.

Hao watalalamika maji hamna, hata yakiwepo hawamwagi na hawajali vilevile. Na hata uongozi wa chuo haufanyi check up ya miundombinu
 
Back
Top Bottom