antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 51,001
- 133,195
Dah..
Huyo Edith apewe maua yake kwa kweli
🌹🌹
Dah..
Hakika MkuuHaswaa..
Mteja mfalme bhana
Sura sio roho.
16 eeeh!?
Tuungane tufungue kanisa letu classmate...wewe utahubiri mimi nitakuwa mhasibu!
Waswahili husema "Ndugu wakigombana chukua jembe ukalime, wakipatana chukua kapu ukavune".Afrika na umasikini wake imelala halafu inafurahia vita kulikoni? [emoji15][emoji15][emoji15]
Tuungane tufungue kanisa letu classmate...wewe utahubiri mimi nitakuwa mhasibu!