Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Hivi ndivyo Ernie Terrell alivyoonekana baada ya kumtaja Muhammad Ali kama Cassius Clay kabla ya pambano lao. “Jina langu nani.” - Muhammad Ali (1967) Ali alionyesha upande wake mweusi zaidi usiku huo wa Februari 6 1967 wakati angeweza kuangusha ngumi moja au mbili zaidi na kusababisha mwamuzi kusitisha pambano lakini akajizuia kiasi cha kumwadhibu Terrell kwa raundi 15 kamili.
FB_IMG_1697020865559.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu dogo ana utoto mwingi; au pengine kapiga pesa za kutosha. Hata kama ana haki katika madai yake lakini njia anazotumia siyo sahihi. Atapotea!
Bahati mbaya mchezo wa masumbwi unahitaji watu wajitoe kwa ajili yako ili uweze kufanikiwa.
Lakini huyu kijana kuna watu wamemshikia akili.
Kila kinachofanyika kwa ajili yake anahisi kudhulumiwa.
Waachane nae waende wakakuze vipaji vipya
 
Waisraeli walishtukizwa vibaya. MOSSAD yao inayosifika sana sijui ilikuwa wapi [emoji848]

View attachment 2778731
Hii ni aibu kubwa ya pili kwa MOSAD.
Aibu ya kwanza ni pale mhalifu mwenye silaha alipofanikiwa kukaa chini ya mita 5 na hatimaye kumpiga risasi Waziri Mkuu aliyekuwa na maono na weledi wa taifa hilo Yizhak Rabin.
MOSAD wajitathimini maana kutokana na uhodari wao wamefanikiwa kupata kandarasi nyingi Duniani, wasipokuwa makini watapoteza soko.
 
Back
Top Bottom