Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,383
Hahaha..Hahaha............sio kwa Wanawake wa sasa Mkuu, ndiyo maana Wazee tumeamua kujificha huku shambani kukwepa aibu ndogo ndogo za kuambiwa tunamiliki shotgun bila vibali 🤪🏃🏃🏃
Maoni yao lazima yasikilizwe 😅🙌
Hahaha...........ndiyo maana Kristu alisema amekuja kwaajili ya wenye dhambi ili wapate kusamehewa.Ndiyo maana ilibidi tuachane na mambo mengi ya Agano la Kale
View attachment 2778975
View attachment 2778974
Nashauri mnala wake ukajengwe pale Tinde njia panda ili hata wale Wasukuma wanaondesha baiskeli wawe wanamuona 😅
Dah..
Please please Bibi yenu asije akaisoma hii, asije kuchukua uzoefu mwisho wa siku akaing'ata Penseli yangu 🤪