Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1696417843453.jpg
 
Walishindwa kupata mtoto kwa miaka minane lakini hatimaye muujiza umetokea baada ya maombi ya kufunga ya nabii na mtume mwaminifu. Sasa ni furaha tupu yaani [emoji1376][emoji1376][emoji1376][emoji419]

View attachment 2778885
Nabii wa ujanja ujanja alifanya makubwa ili apatikane mtoto anayefanana naye[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom