Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mama E, unaitwa na baba E[emoji7]
Mama E ana miezi 9 kamili hajaingia JF. Nahisi alishabadili ID yupo tu ananichora. Ngoja nikionana na dada yake hapa Misungwi Jumapili hii nitamuuliza kama anajua kuhusu hili la kubadili ID hapa 😁😁Mama E, unaitwa na baba E[emoji7]
Wa pili kutoka kulia apewe maua yake..
🤣😅
Dada aambiwe kuwa sasa Mloganzila wana huduma ya kufunga tela
Kulikuwa na ulazima wa kusema kuwa ni familia ya Kisukuma? 🚮🚮🚮
View attachment 2778948
View attachment 2778949
Hahaha..Hahaha............sio kwa Wanawake wa sasa Mkuu, ndiyo maana Wazee tumeamua kujificha huku shambani kukwepa aibu ndogo ndogo za kuambiwa tunamiliki shotgun bila vibali 🤪🏃🏃🏃