Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Ni kweli. Madogo siku hizi hawana siri. Imagine siri za shotgun zinakuja kubwagwa selfika dah! 🙈Hahaha............sio kwa Wanawake wa sasa Mkuu, ndiyo maana Wazee tumeamua kujificha huku shambani kukwepa aibu ndogo ndogo za kuambiwa tunamiliki shotgun bila vibali 🤪🏃🏃🏃