Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

1694658803480.png
 
Marhabaaa mrembo Kasinde...🤩

Aahahahhaa halafu nilikuwa sijaonaaa....😁😁😁
Hongeraaa shugaaaaa...., am happy for you....😊

Karibu chamani, chama cha maPlatinum Member.....😅😅😅😅

Basi tuu membaz wengine hawajaua utamu wa kuwa Platinum...... ni zaidi ya Platinumz...😋😋😋😄

Wuuuhuuuuuuuu shugaa iz n de hauzzzz yeeeeyy.....😜😜😜😁😁😁😁.

Natumai umepata cheko la kukufikisha jioni ya leo kabla ya kuanza kupata gahawa ya ijumaa huku ukiburudishwa na Afrika Bambataa....😋😋😊😊😊🥂🥂🥂🥂
 
Next time nita elevate uchokozi Kasinde...usiwe wa maneno matupu sababu hayajawahi vunja mfupa...

Mi nimemich wewe hapo zaidi Kasinde...

Aahahahahahahahaaa Msafiriiiiiiiiiii weeeuuuweeeee.....😂😂😂😂😂😂😂😂

Leo una hamu ya kwenda kusakata hili rhumba eeehhhh.....

".....vunja mifupa kama meno bado ikooo, vunja mifupa kama meno bado ikooo......"😃😃😃😃.

Sema uchokozi wako ukikutana na uchokozi wangu kutakuwa na uchokozi skwea bin kubik....😁😁😁😁

Bavumbi batamwagika....😅😅😅😅😅😄😄😄😄😄.

Have a good one Msafiri, was a blessing get your finger type this morning.

Ni dawa kama ulikuwa hujajua....🙂😉😉😉.
 
Hahaha imebidi nizipunguze fujo zako kama kawa nibaki na hii kipande tu...

Cheers Kasinde, mrembo usiye na hiyana...ciao ciao!!!

Aahahahahahhaaa ngoja nimalizie na hii fujo halafu nipoteee, maana tumemteka Mshana kwa muda....😜😜😜

Asije akatupeleka selo kilingeni leo ijumaa halafu atuachilie jumatatu asubuhi....😅😅😅😅

Sijui mifupa itabaki salamaa aahahahahahhaa looh....😂😂😂😂

Maana Watu ni sukari ya warembo wakati huohuo ni dawa ya vibibi...😅😅😅

Basi huu wimbo ukuburudishe leo siku nzima.....
Sukariiii, nampatia shuga sukariii....
Suuukariiii, nampatia shuga shukariiii....😅😅😅😅😜.

🥂🥂🥂 Msafiriii, am outer here.

Ciao.
 
Back
Top Bottom