Nyoka amebeba taswira nzima ya unafki na ulaghai[emoji16][emoji1][emoji1] Hata na wao nyoka hawajawahi pendezwa na maumbile ya mwanadam. Ndiyo maana akikuwahi anakushambulia, asipokuwahi anakimbhia zake.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Ngorika zilikuwa zinachapa mwendo sio mchezoHapo zamani.
Moshi Arusha kila mtu anaitaka NgorikaView attachment 2732469