TUNAENDELEA NA SOMO
HAPA PICHANI NI KIUMBE
ANUSTRA KUTOKA SAYARI YA MALAIKA HUKO SAOGOSTO.
vatican ni moja ya branch zao.

katika sayari ya
MALAIKA huko SAOGOSTO.
MALAIKA WAO WA KWANZA kuumbwa ni
GOMZOY na mke aliyetoka ubavuni mwake ni
MALAIYAKA hawa ndio wazazi walio wazaa malaika wote.
huko umalaikani ziko koo nyingi sana ikiwemo koo za
akina JOHNSON, SABR INA,nk
kiongozi mkubwa wa sayari ya umalaikani huitwa
MOLA, MOLA NI KIONHOZI WA SAYARI NZIMA HUKO KWA WENZETU, WAKO MOLA WA MAJINI, MOLA WA RADI, MOLA WA DRAGONS NK huyo MOLA usimamia viongozi wa nchi zote za huko, kiongozi huyo huwa na majeshi makubwa sana ya sayari nzima yanayo mkubali na huyo ndio akaja kutafsiriwa ndie
BWANA WA MAJESHI na watu wa imani fulani na kudhani ndie MUNGU ila hawakujua Mungu awez kuwa BWANA
maana bwana ni mwanaume anajinsia ya kiume na ni kufururu Mungu kumuita Bwana , wale viongozi wa nchi huko uitwa
PRESDA hili ndio jina watu wakaja kuliita
PRESDENT . na mambo ya dunia kuwa na raisi mmoja atayeongoza maraisi wa nchi zote wanataka kukopi kutoka huko, hii ni agenda ya
USA maana wanajua kweli hii kutoka masayari ya huko, ila aitowezekana watu kuungana bila kujua
KWELI YETU JADI tuendelee
KATIKA sayari za malaika huko
SAOGOSTO kuna viumbe wengine wengi tu, kama tulivyo duniani na viumbe wengine hata huko kwao umalaikani kuna viumbe wengine wengi mfano
ANUSTRA, KRISTINA, MAKERUBI,MASERAFI, GUVWIR nk
malaika baada ya kushtukiwa na watu duniani kuwa ni wongo wakaanza kuwakamata na kuwaua malaika walianza kuwa waoga na kuanza kutuma viumbe wengine kuja kufanya kazi zao, mfano
KRISTINA, NA GUVWIR hawa viumbe
KRISTINA walianza kwenda kupotosha huko pande za
ITALIA na huko wakapata wafuasi
baadhi wa kufanya mambo yao wale watu walioanza kuwa wafuasi wa viumbe KRISTINA hao ndio walikuja kuitwa
KRISTIANS ndio waja hao leo ujiita jina la imani hyo, na kusema *wanamfata KRIST bila kujua krist ni jambo gani.