Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,695
- 830,697
- Thread starter
- #180,821
Basi huu wimbo ukuburudishe leo siku nzima.....Aahahahahahhaaa ngoja nimalizie na hii fujo halafu nipoteee, maana tumemteka Mshana kwa muda....
Asije akatupeleka selo kilingeni leo ijumaa halafu atuachilie jumatatu asubuhi....
Sijui mifupa itabaki salamaa aahahahahahhaa looh....
Maana Watu ni sukari ya warembo wakati huohuo ni dawa ya vibibi...
Basi huu wimbo ukuburudishe leo siku nzima.....
Sukariiii, nampatia shuga sukariii....
Suuukariiii, nampatia shuga shukariiii.....
Msafiriii, am outer here.
Ciao.
Sukariiii, nampatia shuga sukariii....
Suuukariiii, nampatia shuga shukariiii....




.Sent using Jamii Forums mobile app

