Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Mtuache na Simba yetu. Mwaka 1993 tulifika fainali ya hiyo michuano na wala haturingi

View attachment 2626030
Ajabu bingwa alikuwa Al Ahly
JamiiForums-1088565506.jpg

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
So what?

Mwaka 1993 wala hujazaliwa au pengine ulikuwa bado kwenye nepi...

Appreciate greatness when you see it. Una bahati sana kuishuhudia Yanga yenye ubora kama huu. Utakuja kusimulia watoto, wajukuu, vitukuu na vilembwe vyako. Halafu yaani kama nakuona na mkongojo wako ukijaribu kutetema kama Mayele. Basi vitukuu babuuuuuuu havina mbavu!
Na ajabu bingwa alikuwa Al Ahly!.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mtu unasafisha ghetto mpaka linang'aa

Unanunua vitu vya msingi

Unajiandaa kisaikolojia

Hela za matumizi na "nauli" yake ya kurudia.

Unafakamia sijui karanga, tende na upuuzi mwingine

Unakoga na kujisopusopu vizuri mpaka unatumia cologne yako ambayo huwa huigusi hovyo hovyo...

Una-cancel appointments zote siku hiyo....

Unaomba mpaka Mungu Akusamehe tu maana hakuna namna!

Halafu mtu haji dah!

Ngoja nisimulie kwa dots....

Ilinitokea kitambo tuu, ujana maji ya moto....

Nilikuwa kazini, akaja mdau nikamhudumia kwa namna ambayo alikuwa akienda ofisi nyingine huduma ilikuwa mbaya. Bila kupepesa macho akaniomba namba, nikamuangalia usoni, alikuwa hajanyoa ndevu, shati lina vumbivumbi nywele hajaweka piko mvi mvi zinaonekana uso umechoka kwa shughuli za maisha, wakati namtathmini akarudia, naomba namba yako... nikazinduka kutoka mawazoni nikaandika kwenye kikaratasi 07830560..
Akaondoka nami nikamalizia kazi zangu, wakati natoka kuelekea nyumbani naona jumbe kwenye simu, nashukuru sana kwa huduma mujarabu, karibu tupate mlo wa mchana mgahawa wa Salamander, hapana halipo kwenye majibu nnayotarajia kutoka kwako...

Siku ya tukio mlo wa mchana ukaliwa tukafahamiana, alikuwa mtu tofauti na niliyemhudimia ofisini....
Kumbe alikuwa mfanyabiashara wa madini kutoka ulanga, jamaa akaanza kutupa ndoano.....

Nikapotezea ila mawasiliano yaliendelea...
Siku ya siku na misongo yangu ya mawazo nikamkubalia tukutane Twiga Hotel.....
Nikaenda vizuri ilikiwa usiku, nikamkuta ashafika chumbani, ghafla akaanza kuongea na simu kisha akaweka simu pembeni akaniambia kuna mtu anaenda kuonana nae hapo chini nimsubiri chumbani anakuja....

Akili ya bangi ikaanza kuniambia, sasa leo unatolewa kafara.... huyo anaeenda kuonana nae aidha wanakuja nae humo chumbani wakubebe wakauze viungo vya ndani au anakuuza kwa mtu ukatemeshe mgodi ulanga huko.... aahahahaaa sijui kwanini niliwaza vile, mawazo yakazidi nitawala nikatoka chumbani nikawa kwenye korido ili nikiona wanaoelekea chumbani siwaelewi natoka nduki.

Alikaa zaidi ya nusu saa, ilipofika saa kasoro hajarudi nikafunga chumba nikarudisha ufunguo mapokezi nikarudi kulala nyumbani.

Uzuri hakuwa anapajua kwangu wala sipajui huko ulanga kwao, hakuja tena ofisini kwangunila alikasirika kwanini nimemkimbia wakati alijua tunalala wote...

Alikasirika nahisi alienda nunua dada poa, nikawa nimeepa msala namna hiyo.
Ila baadae alikuja kunielewa, akaniambia Kasie punguza hofu, unapishana na gari la mshahara....😁😁😁

Nikamwambia kunguru mwoga mie....
 
Hadithi hujaimalizia...

Kwa hiyo baadaye uliliwa?

Malizia stori basi inoge we nae kha!
 
Hadithi hujaimalizia...

Kwa hiyo baadaye uliliwa?

Malizia stori basi inoge we nae kha!

Aahahahaaa ng'wanawanne naheneee....

Hadithi ndo imeisha...

Sikuliwa, wala hatukukulana...

Ila kabla hajashuka chini tulikuwa na amsha amsha ile kuangalia yaliyomo yamooo.....😅😅😅

Alipima kina cha kisima na mpini, nami nilihakiki kuwa bustani italimika, jembe lilikuwa imara kwenye mpini wake....

Amsha amsha yaani tulifanya kama kuchovya matonge matatu yabugali kwenye mchuzi na kula kuona msosi utalika, una ladha, halafu ndo akasema ngoja amalizane na watu wake halafu akirudi mtifuano uanze.....

Ila ndo hivyo, tuliishia kuchovyana tuu....😷😷😷

Nikakimbiza mbawa zangu, japo alikuja na vipimo tukapimana VVU majibu yakawa safeee.....

Sema nilikuwa na wenge la bangee, ila lilinisaidia...😁😁😁
 
😢😢😢😭😭😭😭😭😭😭 Daah dunia hii sijui nn kimempata huyu jamaa

View attachment 2627124
Huyu siyo Profesa Jay huyu?

Kama ni yeye mbona shida yake inaeleweka mpaka serikali ilijivika jukumu la kumtibu. Hata kufika hapo ni muujiza maana alikaa ICU karibia mwaka.

Inasemekana kapata figo nyingine na sasa yuko vizuri. Mungu ni mwema 🙏🏿
 
Aahahahaaa ng'wanawanne naheneee....

Hadithi ndo imeisha...

Sikuliwa, wala hatukukulana...

Ila kabla hajashuka chini tulikuwa na amsha amsha ile kuangalia yaliyomo yamooo.....😅😅😅

Alipima kina cha kisima na mpini, nami nilihakiki kuwa bustani italimika, jembe lilikuwa imara kwenye mpini wake....

Amsha amsha yaani tulifanya kama kuchovya matonge matatu yabugali kwenye mchuzi na kula kuona msosi utalika, una ladha, halafu ndo akasema ngoja amalizane na watu wake halafu akirudi mtifuano uanze.....

Ila ndo hivyo, tuliishia kuchovyana tuu....😷😷😷

Nikakimbiza mbawa zangu, japo alikuja na vipimo tukapimana VVU majibu yakawa safeee.....

Sema nilikuwa na wenge la bangee, ila lilinisaidia...😁😁😁
Maelezo yanachanganya kuliko hata yale ya awali yaani....

Kasie Matata bana 😁😁😁
 
Heloo.mkuu sorry naomba mdaada cm yangu nikifungua hasa picha hazionyeshi ila zamani nilikuwa nikifungua zinafunguka sijajua km.kuna mfumo mpya hapa jf au application gani nitumie niweze kuona picha cm yangu ni Samsung A 11
Fuata maelekezo ya Melo hapa chini. Inavyoonekana ile app ya zamani wameamua kuitelekeza japo hawataki kusema. Ni zaidi ya mwezi watu wanalalamika lakini hakuna hatua yo yote inayochukuliwa!

Back
Top Bottom