Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Siyo sex doll.hizo ni propaganda tu elon musk hatengenezi sex dolls na mpaka atengenezwe sex doll wa kumzidi mwanamke ni miaka mingi mbele.....
Ni Humanoid
Ongezea na AI yake
Na Neuralink
Po pote atakapoona kuna pesa ataelekea huko....

