Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1684407072734.jpg
 
Mtu unasafisha ghetto mpaka linang'aa

Unanunua vitu vya msingi

Unajiandaa kisaikolojia

Hela za matumizi na "nauli" yake ya kurudia.

Unafakamia sijui karanga, tende na upuuzi mwingine

Unakoga na kujisopusopu vizuri mpaka unatumia cologne yako ambayo huwa huigusi hovyo hovyo...

Una-cancel appointments zote siku hiyo....

Unaomba mpaka Mungu Akusamehe tu maana hakuna namna!

Halafu mtu haji dah!
Hii inauma sana.
Jitahidi uwe unakuwa na PLAN B, maumivu yatakuwa sio makubwa sana.
 
Back
Top Bottom