Watapata tabu sanaNamjua aliyetoa hii comment. Ni mwanamke mmoja ngangari sana na asiyependa mchezo mchezo. Super woman!
Karibu tena mkuu. Ulipotea kidogo. Natumaini kila kitu kiko salama 🙏🏿
Mmhhu. SHIHATA [emoji2955][emoji2088][emoji2088][emoji2088]Hadithi hujaimalizia...
Kwa hiyo baadaye uliliwa?
Malizia stori basi inoge we nae kha!
Yanakuja TZ soon. Tayarisha mahali....eeh sorry mahari [emoji16][emoji16][emoji16]Haki ya nani tutakuja kugegeda hata haya maroboti. Hii dunia hii hata sijui inakwenda wapi!
Domo la kufinyia kwa ndani