utakaaje arusha usivute aisee😂 unapajua the mulbery??Atalionaje na wakati ye anaangalia mbele na lenyewe liko nyuma.
Wanasemaga mwanaume wa hivi wa nini mimi😂😂My dear Ms eyes hebu wacheki na wengine hali ngumuView attachment 2626858
kweli watu mnajipanga😅Unaomba mpaka Mungu Akusamehe tu maana hakuna namna!
😂😂 napajua. Kuna mtu nilikuwa namsindikiza akavute aharibu mapafu yake 🤣🤣utakaaje arusha usivute aisee😂 unapajua the mulbery??
angalau saivi pamefungwa, watu walikua wanaharibikia pale 😂😂😂 napajua. Kuna mtu nilikuwa namsindikiza akavute aharibu mapafu yake 🤣🤣
Mimi na watu wengine wengi tunakaa na hatu-moke 😎
😂😂😂😂 wamehamia The Hub na Billsangalau saivi pamefungwa, watu walikua wanaharibikia pale 😂
dah kuna binamu yangu alipata ajali last year akiwa anatoka bills kalewa.... saivi naogopa sana😂😂😂😂 wamehamia The Hub na Bills
Bills kila meza ina mtungi
Na pale pembeni ya DStv 😂😂 pamenitoka jina.
Usinambie nawe walikuharibu
Don’t drink and drive.dah kuna binamu yangu alipata ajali last year akiwa anatoka bills kalewa.... saivi naogopa sana
Huyu mwamba akili zake anazijua mwenyewe