Jambo Brother Mshana,naomba msaada wa Jf huu ni mwezi kama wa pili simu yangu kwenye jf haifungui picha yoyote,so mimi nasoma tu sms but picha hazifunguki km zamani,naomba msaada wa kuelelezwa
Na ndiyo maana inaitwa 'papa'.
Tatizo la wengi tumia browserJambo Brother Mshana,naomba msaada wa Jf huu ni mwezi kama wa pili simu yangu kwenye jf haifungui picha yoyote,so mimi nasoma tu sms but picha hazifunguki km zamani,naomba msaada wa kuelelezwa
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Tango lina VVU au, mbona kalivesha kinga 🙄🙄🙄
Sura mpya mwili wa zamani
Nimeacha kwa ajili ya ulinzi wa vyanzo vya maji
amelowa amelowa amenyeeshewa na mvua 🎤🎤
Cha ukorofi acha hizo 😁😁😁amelowa amelowa amenyeeshewa na mvua 🎤🎤
Hizi za vuli 🤭🤭Cha ukorofi acha hizo 😁😁😁
Mvua gani sasa imemlowesha?
Jongweee!
View attachment 2623892