Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 10,436
- 18,490
Upo nusu umevuna billion 1.2 tumeishia robo tuna billion 1.7 nani ameichanga karata yake vizuri hasa kwenye kuongeza mapato ya club tuna points 35 nafasi ya 9 Africa unapoints 15 nafasi ya 23 Africa lakini bado unazani wewe ni mkubwa kuliko Simba Africa hiki ni kichekesho,pesa alizo kusanya Simba kwenye mashindano ya CAF na shirikisho ni nyingi kuliko alizo kusanya Yanga kwa miaka 5 yaani kitakwimu yanga ajafika hata robo ya makusanyo ya Simba kwenye mashindano yote ya CAF, ila furaha mliyo nayo nikufika nusu kwenye mashindano mliyopo wakati Simba tulisha furahi kitambo mpaka tumesahau hakika history aifutiki ikisha andikwa milele, nikweli mbili aiwezi kuwa moja kamwe.
Hizo nywele ugonjwa wangu huo

kasie mahba matataKama hujui utamu wake usitukataze wote.....
Iwe ndani, iwe upenuni maadamu ni wangu wa ubani, kwaatuuuuu......😋😋😋
Kwaraha zangu....🤩🤩
Ila kama halipo huwezi pata kafeeling napataga likikamatwa namna hiyo...😜😜😁😁😁🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
kasie mahba matata
Asante sana kwa kuniondolea hofu km kilio ni wengi make nilihisi simu yangu ina,japo mie sio mtundu kwenye mambo ya simu so inabidi ni reload jf kwa kupitia browser? Naomba husinichoke bro mpk nisaidike make namiss vingi bila kufungua picha au videosTatizo la wengi tumia browser
Asante sana bro Mshana nimefanikiwa kama ulivonielekeza,ubarikiwe sana naona picha zinafunguuka kwa speed haswaAsante sana kwa kuniondolea hofu km kilio ni wengi make nilihisi simu yangu ina,japo mie sio mtundu kwenye mambo ya simu so inabidi ni reload jf kwa kupitia browser? Naomba husinichoke bro mpk nisaidike make namiss vingi bila kufungua picha au videos
Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Kimke cha Emmanuel Macron ndo kinatangaza mambo ya Weather ama?