Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230516_135049_Instagram Lite.jpg
 
Asante sana kwa kuniondolea hofu km kilio ni wengi make nilihisi simu yangu ina,japo mie sio mtundu kwenye mambo ya simu so inabidi ni reload jf kwa kupitia browser? Naomba husinichoke bro mpk nisaidike make namiss vingi bila kufungua picha au videos

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
Nenda upande wa juu kulia Kwenye screen ya simu yako kuna dot tatu za kushuka chini, bofya hizo, yatatokea maelezo. Chagua open in browser au web view bofya hapo
 
Asante sana kwa kuniondolea hofu km kilio ni wengi make nilihisi simu yangu ina,japo mie sio mtundu kwenye mambo ya simu so inabidi ni reload jf kwa kupitia browser? Naomba husinichoke bro mpk nisaidike make namiss vingi bila kufungua picha au videos

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app

Fuata maelekezo ya Melo hapa chini. Inavyoonekana ile app ya zamani wameamua kuitelekeza japo hawataki kusema. Ingependeza tu hata waiondoe huko Playstore maana kama wameitelekeza itakuwa rahisi sana kudukuliwa...

Back
Top Bottom