Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Body count 30+ πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Screenshot_20230511_120715_Instagram Lite.jpg
 
Mafuta ya tumboni na kifuani siyo mazuri. Ni chanzo kimojawapo kikuu cha kansa, magonjwa ya moyo, presha na mengineyo. Wengine wakishindwa kuyaondoa kwa diet na mazoezi hukimbilia operation (liposuction) japo sikujua kama ni ghali hivyo!
Op hapana kwakweli, au Kwa vile sina hela[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Op hapana kwakweli, au Kwa vile sina hela[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama una msambwanda usijali. Mafuta ya huko na ya mapajani yana faida nyingi. Yata-neutralize madhara ya haya ya tumboni japo naamini hata kitambi huna. Maumbo ya pisi za Kinyaki tunayajua! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
 
Back
Top Bottom