Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

mwenye jf ww unafanyaga hivi mkuu 😃
1684212775875.jpg
 
Kwa mujibu wa Katiba hii ya mwaka 1977 dhahabu ikikutwa shambani kwako aridhi ni ya serikali lakini bangi ikikutwa shambani kwako aridhi ni yako. Tunataka Katiba Mpya itakayotoa mamlaka ya umiliki ardhi kwa watu ili kama ardhi yenye bangi ni yako basi na yenye dhahabu iwe yako
Hakuna taasis inayoweza kukubal kubadili kipengele km hicho
 
Asante... Namshukuru Mungu Nimetoka salama Nimepata Baby Girl ..
Ubaya wako huwa hauko siriazi....

Kama ni kweli basi hongera sana na Mungu Ashukuriwe maana shughuli ya leba naijua. Nilishawahi kushawishiwa kuingia huko na ilibidi tu wanitoe maana hali ilikuwa tete na badala ya kushughulika na mzazi ilibidi washughulike na mie. Ndo maana hata siku moja hutanikuta nikimsema vibaya mwanamke...

Hebu kimalaika hicho na kibarikiwe sana kikawe na busara kama mama yake...
 
Kwa mujibu wa Katiba hii ya mwaka 1977 dhahabu ikikutwa shambani kwako aridhi ni ya serikali lakini bangi ikikutwa shambani kwako aridhi ni yako. Tunataka Katiba Mpya itakayotoa mamlaka ya umiliki ardhi kwa watu ili kama ardhi yenye bangi ni yako basi na yenye dhahabu iwe yako
Mantiki kengeufu....

Dhahabu ni natural resource...

Bangi ni juhudi zako....

Na umepanda makusudi huku ukijua ni kinyume cha sheria.....
 
Back
Top Bottom