Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20230506_203003.jpg
 
Mwanadada Theresia(31) toka nchini Ujerumani amefanya sajari ya miguu kumuongezea urefu ili awe mzuri na mvuto zaidi ambapo imemgharimu dola $161,000 ambazo sio.chini ya shilingi milioni 379

Amesema kabla ya sajari watu walikuwa wakimsema sana vibaya hasa mitandaoni sababu ya ufupi ndio akaamua kufanya sajari lakini hata baada ya sajari amesema watu bado wameendelea kumkalia kooni hajui hivyo hajui afanye nini lakini angalau anashukuru kwasasa ana urefu wa futi 6 ambao umemsaidia kuwa flexible hata akiwa kitandani wakati wa kufanya mapenzi na pia ni matumaini yake urefu wa sajari aliogaiwa utamsaidia katika kazi zake za uanamitindo apate deals zaidi.

1View attachment 2616856View attachment 2616857
Ni ubatili tu.
 
Ukiishiwa hela ya kulipa next night they kick you out au.. 😁😁
Unatolewa ukaliwe na ma alien huko

Hiyo kitu watu wenye utajiri wa 20B$ kwenda juu ndo watafaidi kisawasawa sisi wengine tunaishi tu kama madigidigi

Billioni 11.5 tshs daily sio mchezo watu wanavimilioni hapo wanapigwa break kwanza 😅😅😅
 
Back
Top Bottom