Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

20230512_055801.jpg
 
HII NI KASWENDE SUGU
Ukichelewa kutibiwa Kaswende inaweza kukufanya ukawa kama kuku kishingo inakula nywele.
Dalili ya kwanza kabisa ya Kaswende ni kidonda ambacho huwa hakina maumivu, kinaweza kuwa sehemu yoyote kwenye mwili kuanzia sehemu za siri, kwenye ulimi au kwenye vidole.
20230512_061436.jpg
20230512_061431.jpg
 
Misri inaendelea na ujenzi wa Ziwa bandia lenye urefu wa kilomita 114 kwa dhumuni la kuongeza usalama wa chakula na mauzo ya nje ya kilimo.

Ziwa hilo litakuwa kubwa kuliko maziwa yote duniani, yaliyotengenezwa na binadamu.
View attachment 2618472
Wanategemea maji yao ya Mto Nile ama? Ni maji yao hata sisi haturuhusiwi kuyagusa!
 
Yaani ni kweli kabisaaa......

Ilaa...... mimi ilishanitokea tofauti.....

Well ni miaka lukuki huko nyuma....

Tulikuwa wapenzi halafu tukaachana sababu ya kuchuniana, (our ego). Wakati huo wote tuko chuo, ila kila mtu anachukua fani tofauti, mimi chuo cha sanaa yeye cha sayansi.

Siku ya siku yeye ndo akanitumia ujumbe amenikumbuke nikamtembelee chuo.....

Nikaenda hadi chuoni kwao mbaliii.....

Kufika pale nikaingia hadi chumbani kwake alikuwa kalala kitandani na pensi pekeyake, mimi niko na mgauni wangu mrefuu hadi kisiginoni ila umenichonga mwili, akaniambia njoo ukae kitandani nikakataa....

Nikakaa kwenye kiti, na yeye hakuamka pale kitandani tukaongeleshana kivivu hivohivo nikaona jau nikamwambia mi naondoka....

Nikajua ataamka anibembeleze nisiondoke, akaniambia haya safari njema....😐😐😐

Nikajiambia mama amka uende hata sikusindikizwa hadi kituoni.....
Nilichukia kwanini nilipoteza muda wangu kwenda hadi Kibaha kutokea Bagamoyo....😑😑

Hata sijui inahusiananje na nilichokwoti, nimejikuta tuu nasimulia...😉

Kuna mianaume ya hovyo dah!! Sijui baadhi yetu tumeumbwaje maana hapa tu nimesismka mwili na kudindisha kwa kusoma hiki kisa chako, yaani ukijileta chumbani kwangu lazima uliwe, hilo lipo na kama upo kwenye siku zako basi utatafuta namna ya kunipunguzia minyege hata kama utanisaidia kupiga nyeto, sikuachi...
 
Back
Top Bottom