Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Neema Ng'asha?

Muimba gospel?

Sasa hivi ameanzisha Foundation inaitwa sijui Strong Women sijui nini kumbe....

Ila 40 bado. Anaweza kuolewa na akazaa. Tatizo labda ni huo u strong woman!
Nani achukue mbibi mkuuu saivi labda kama ana hela ila hivi hivi duuh ni uongo asee mabinti wa 20-23 unamwachia nani sasa
 
Hawa wanataka kuachana kweli?View attachment 2618773
HAMNA NAMNA 👇👇👇👇👇👇👇👇
Screenshot_20230510-233754~2.png
 
Nadhani itakuwa ana njia nyingine ya kupunguza muda

Anyway ni 2025 hapo wacha tujionee mambo 😁😁😁😁
Njia nyingine ya kupunguza muda?

Sidhani maana siyo jambo rahisi. Inahitajika scientific/technological breakthrough kuweza kutoka kwenye hii propulsion technology tuliyonayo kwenda nyingine. Na mambo ya worm holes na time travel bado ni nadharia tu...

Ndiyo maana NASA kupitia program yao ya ARTEMIS wanapanga kwanza kuwa na ngome ya kudumu mwezini ili ndiyo waje waitumie kama launching pad ya kuendea Mars. Kwenye mwezi gravity ni kidogo sana na maroketi yanaweza kubeba supplies nyingi bila kuhitaji nishati kubwa....

Kwamba Elon Musk yeye mwaka kesho tu awe tayari keshajenga hoteli ya kudumu Mars na kupeleka watu. Sidhani!

Kama hoteli itakuwa hapa kwenye lower orbit ulipo mrundikano wa satellites na International Space Station sawa....
 
Back
Top Bottom