Njia nyingine ya kupunguza muda?
Sidhani maana siyo jambo rahisi. Inahitajika scientific/technological breakthrough kuweza kutoka kwenye hii propulsion technology tuliyonayo kwenda nyingine. Na mambo ya worm holes na time travel bado ni nadharia tu...
Ndiyo maana NASA kupitia program yao ya ARTEMIS wanapanga kwanza kuwa na ngome ya kudumu mwezini ili ndiyo waje waitumie kama launching pad ya kuendea Mars. Kwenye mwezi gravity ni kidogo sana na maroketi yanaweza kubeba supplies nyingi bila kuhitaji nishati kubwa....
Kwamba Elon Musk yeye mwaka kesho tu awe tayari keshajenga hoteli ya kudumu Mars na kupeleka watu. Sidhani!
Kama hoteli itakuwa hapa kwenye lower orbit ulipo mrundikano wa satellites na International Space Station sawa....