I wish it were so easy [emoji848][emoji119]
Acha nifurahie ushindi wa mnyama mimi banaSonga mbele mwanaume acha kuleta pigo za Kipare hapa kulia lia....
Ulishindwa hata kumroga? [emoji16][emoji16]
Turn back the time my foot [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Thanks[emoji173] lovely[emoji173]Acha ukorofiii...[emoji38][emoji38][emoji38]
Muache mwenzio aondoe taswira na kumbukumbu mbaya akilini.....
He gat a shoulder to lean on...[emoji4].
Atarogaje na kuna watu hawarogeki...[emoji23][emoji23]
Kumbe ...alafu hapo hawakumtia dole kweli huyo simba🤣🤣🤣🤣