Nasikiaga huyo Simba alitokeaga Serengeti
Hawa ndio wanajua ustaarabu muliko watu wote duniani na wala husikii mambo ya tuombe mungu wala nini.
Hawana dini na hawajali kuhusu dini, wana mambo yao wenyewe...Hawa ndio wanajua ustaarabu muliko watu wote duniani na wala husikii mambo ya tuombe mungu wala nini.