Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20230311-214907.jpg
 
ilinikuta hii kizuka tpdf nikiwa form two chooni soweto A , jamaa wapo choo cha pili wanavuta mimi nipo upande mwingine najisaidia, He! Kumuona " GAMBESH " (Huyu alikua mlinzi wa wanafunzi wa bweni mwanajeshi mmoja baada ya patron ) he! Si wakarushia vipisi huku nilipo na hawaja vizima mbio wakachoropoka ilikua hekaheka, gambesh akaja moja kwa moja kule chooni baada ya kuona mlango mwingine haujafungulia alikuja kupitiza na teke maaaninah yule akakuta ndio navisukumia kwenye tundu la choo sito sahau dah! Hii picha imefukua file ambalo si rahisi kukumbuka kwenye mazingira ya kawaida
 
Back
Top Bottom