Hiyo ilinikuta mchana kweupee!Pole aisee....
Siamini msoto ulioupata![]()


Nilikula kibano cha hatari na nilikua sijawahi vuta bangi! Ila baada ya pale nilianza kupuliza maana nilijisikia hasira kupata adhabu kwa kitu ambacho sijafanya hivyo nikashawishika kirahisi kuijaribu ili nijue inakatazwa kwa sababu gani!!? Na hapo ndipo gari ikawaka jumla




Huyu jamaa ana kashfa hizi siku nyingi, sijui kama yupo salama na bahati mbaya sijawahi kua shabiki wake na si shabiki wa mpira kabisa
Kuna sifuri ime miss kukamilisha maana ya kuweka comma kimahesabu otherwise mmetuingiza chaka
Hivi vitu vina fikirisha sana
Ndio mzuri huyo ana experience ya mizangamuano.
Hahaha! Mimi bado!Kutoka nyumbani View attachment 2546048