"UMRI SIO RAFIKI NITAMLIPA
MSHAHARA ATAKAYE NIOA"
Haya sasa unaambiwa mwanamke mmoja wa Nigeria mwenye makazi yake nchini Ufaransa ameingia kwenye mtandao ya kijamii kutoa tangazo anahitaji Mwanaume wa Kumuoa na akijitokeza atakuwa anamlipa Mshahara kwa Mwezi.
Mwanamke huyo ambae Tayari umri umeenda alidai kuwa kwa sasa anahitaji Mwanaume wa kutulia nae kwani Umri sio rafiki tena kwake
Alifichua kuwa ana mali mbalimbali nchini Nigeria na Ufaransa, hivyo fedha si suala kwake.
Amefunguka kuwa atalipa mshahara wa kila mwezi kwa mwanamume yeyote ambaye yuko tayari kumuoa.
Alipiga magoti kwenye mvua kuwasihi sana wanaume wazame kwenye DM yake na kumwambia nia yao.
View attachment 2544396