Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

FB_IMG_1678472215331.jpg
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ilinikuta hii kizuka tpdf nikiwa form two chooni soweto A [emoji1787][emoji1787][emoji1787], jamaa wapo choo cha pili wanavuta mimi nipo upande mwingine najisaidia, He! Kumuona " GAMBESH " (Huyu alikua mlinzi wa wanafunzi wa bweni mwanajeshi mmoja baada ya patron ) he! Si wakarushia vipisi huku nilipo na hawaja vizima[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mbio wakachoropoka[emoji1787][emoji1787] ilikua hekaheka, gambesh akaja moja kwa moja kule chooni baada ya kuona mlango mwingine haujafungulia[emoji1787][emoji1787][emoji1787] alikuja kupitiza na teke maaaninah yule akakuta ndio navisukumia kwenye tundu la choo[emoji1787][emoji1787][emoji1787] sito sahau dah! Hii picha imefukua file ambalo si rahisi kukumbuka kwenye mazingira ya kawaida
Pole aisee....

Siamini msoto ulioupata [emoji16]
 
Back
Top Bottom