Uyu maza mbona anavaa kiwaki sana?
Mbona kama vile kuna nati zimelegea?
UTENGUZI
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga Bi Jane Nyamsenda ambaye Uteuzi wake umetenguliwa Jana na Rais Samia Suluhu Hassan
View attachment 2544924View attachment 2544925
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah nimecheka kama fala
Ujinga ni hatari sana 😶