Philipo D. Ruzige
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 9,429
- 27,131
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa jinsi ninavyokujua, hukawii kusema kuwa ni Wasukuma [emoji51][emoji51][emoji51]
View attachment 2469072
Upo Mwanza?Mitandaoni humu 95% porojo. 4% ukweli nusu. 1% ndo ukweli halisi...
Ni kweli niko 76...na mayutongs ni fantasy za ujanani huko miaka ya 60 na 70 wakati damu ingali ikichemka!
Siku ukipita Rocky City tutafutane bageshi [emoji1545]
View attachment 2469367