carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,579
- 285,646
[emoji23][emoji23][emoji23] mmenikumbusha mimi kuna siku niliweka hela tena ilikuwepo hapo na hela ya kodi. Kumbe hiyo sehemu niliyoweka panya kapita akabebea noti zote nyuma ya kabati.... Nakumbuka ilikuwa pasaka ile mwenyewe niende buchani nikanunue ka-robo naangalia hela nilipoweka hamna, nilidata aisee...nililiaaa kama nina msiba. Baadae katika kusogeza sogeza vitu naona noti imetokeza kidogo kusukuma kabati naona noti zote zimerundikwa huko.Itakua uliangusha, pole. Mwenzako kuna siku nimeingia dukani agiza vitu hela sasa naziona? wacha nidate kumbe kabegi kangu kuna sehemu pamefumuka hela nilizikunja pamoja zikawa zimezama pale palipofumuka zipo kwa ndani humo humo nisijue yaan nilishaanza kulia [emoji23] kupoteza hela kunauma bora uzitumie kiholela ziishe ujue moja ila sio kupoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila hiyo neema inakufundisha kukataa ubayaNi kwa neema tu. Zingine zote mbwembwe tu...
[emoji23] hakuzichana chana kama kawaida yao?[emoji23][emoji23][emoji23] mmenikumbusha mimi kuna siku niliweka hela tena ilikuwepo hapo na hela ya kodi. Kumbe hiyo sehemu niliyoweka panya kapita akabebea noti zote nyuma ya kabati.... Nakumbuka ilikuwa pasaka ile mwenyewe niende buchani nikanunue ka-robo naangalia hela nilipoweka hamna, nilidata aisee...nililiaaa kama nina msiba. Baadae katika kusogeza sogeza vitu naona noti imetokeza kidogo kusukuma kabati naona noti zote zimerundikwa huko.
Ni hatari siwezi kufanya huo mchezoThis hurts
View attachment 2468794
Hata mimi nilishangaa hawakunyofoa hata kipande. Nadhani walizivutia huko ndio waanza kuzishughulikia
Ni nani huyu asee khaa kamzidi Nicole berry kabisa una connection yake mkuuSupa Dupa Yutong ndo kama hii sasa 🔥🔥🔥😘😘😘
Mpare tumeelewana? Ukome kuokoteza okoteza sulusuti zako huko na kudai ni supa dupa!
View attachment 2467193
Kwa jinsi ninavyokujua, hukawii kusema kuwa ni Wasukuma [emoji51][emoji51][emoji51]
Nicole Berry ni nani mkuu?Ni nani huyu asee khaa kamzidi Nicole berry kabisa una connection yake mkuu
Nilikuwa namzingua tu mlokole wa watu.Ila hiyo neema inakufundisha kukataa ubaya
Tutaona siku yako ikifika [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123]Ni hatari siwezi kufanya huo mchezo
Una bahati, vipanya vina fujo ungechelewa ungekuta vishafanya yao.Hata mimi nilishangaa hawakunyofoa hata kipande. Nadhani walizivutia huko ndio waanza kuzishughulikia
[emoji16][emoji16][emoji16] Mimi ukiona nimekuja hadi kwako jua nimekuja kukupea wewe tu ushindwe[emoji125][emoji125][emoji125]Tutaona siku yako ikifika [emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123]
Yaani nashukuru niliwahiUna bahati, vipanya vina fujo ungechelewa ungekuta vishafanya yao.