Tareek Azeez
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 12,958
- 32,451
Wapo kina Mwijaku huko wanawapenda mno.Kwani na nyie mnavyopenda chura mnataka flat screens nan awapende? Kila mtu anachagua anachovutiwa nacho
Wapo kina Mwijaku huko wanawapenda mno.Kwani na nyie mnavyopenda chura mnataka flat screens nan awapende? Kila mtu anachagua anachovutiwa nacho
😂Wapo kina Mwijaku huko wanawapenda mno.
Wimbo wowote wa Bahati Bukuku
Una bifu gani na Bahati Bukuku? Sema tu manyimbo yake marefu unaweza kutoka na Abood hapa mpaka Morogoro bado wimbo mmoja tuWimbo wowote wa Bahati Bukuku

Kamanda bana 