Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

IMG_20230105_052323_239.jpg
 
Wacha utani bhana..
76 na ma-Yutong wapi na wapi[emoji16]
Mitandaoni humu 95% porojo. 4% ukweli nusu. 1% ndo ukweli halisi...

Ni kweli niko 76...na mayutongs ni fantasy za ujanani huko miaka ya 60 na 70 wakati damu ingali ikichemka!

Siku ukipita Rocky City tutafutane bageshi [emoji1545]
Tumblr_l_611900094763139.jpg
 
Back
Top Bottom