Bwana Yohana Madhambi (John Sins)🤣🤣🤣Ila huyu jamaa jehanamu ana kuni zake kabisa tofauti na za wengine
The game is over
Kushney babujii. Dk 90 + 30 za extra time zimeisha
Wasukuma mnafeli wapi ndugu zangu?Nije nisikie mtu anasema huyu ni Msukuma [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2448567
Labda itakuwa ni msukuma.[emoji2440][emoji2440][emoji2440]Nije nisikie mtu anasema huyu ni Msukuma [emoji706][emoji706][emoji706]
View attachment 2448567
Looooh[emoji855][emoji855]
Urongoo,anakundanganyaa
Duh hatari sana aiseee,Beyonce aliwahi kualikwa kwenda kutumbuiza kwenye birthday ya bilionea mmoja wa Saudia akalipwa $142 million na hafla ilihudhuriwa na watu 32 tu. Hivyo haishangazi.
Hilarious. 🤣 🤣 🤣The “E” in Tanzania stands for Electricity