Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20221215-171924_Instagram.jpg
 
Katika hali isiyo ya kawaida, Abdel Raphael (42) Mkazi wa Mtaa wa Uwanja Mkoani Geita amekutwa amefariki kwa kile kinachodaiwa alifunga maombi ya sala kwa siku 30 katika chumba chake huku akiiaminisha Familia yake kuwa akifariki atafufuka baada ya siku nane.View attachment 2448286
Ni huyu au mwingine?



Screenshot_20221214-144918_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom