JahManPeace
JF-Expert Member
- Dec 1, 2019
- 473
- 662
Maembe ya umma
Maembe ya umma


Comando, ya Arnord shwaziniga, sie tulikuwa tunaita Komando John ya Jane
Beyonce aliwahi kualikwa kwenda kutumbuiza kwenye birthday ya bilionea mmoja wa Saudia akalipwa $142 million na hafla ilihudhuriwa na watu 32 tu. Hivyo haishangazi.MakasirikoView attachment 2448447
The hard way
Afghanistan kwa wababe. Ni taifa pekee ambalo limeshawahi kuingia vitani na super powers wote (US na Urusi) na kuibuka kidedea. Lete masilaha yako hatari sijui smart bombs, laser guided missiles na utopolo mwingine wao utawakuta tu wapo kwenye ngamia wanatafuna hashish yao bila wasiwasi ila cha moto utakiona tu.....na kufa kwao ni kawaida.
Yolly Yolly ana hizi taarifa?Hiv nauli ya USA mpaka TZ ni tsh ngap , maana nimekutana na Rihanna Facebook kaniomba Elf 60 tu atafika tuonane![]()
