Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

Screenshot_20221216-161542.jpg
 
Kuna movie Fulani hivi ilitoka 2010 siikumbuki jina ila ilikuwa inaonyesha watu (vijana) walikwenda kula BATA baharini wakati wanakunywa bia moja ya chumba ambayo haijafunguliwa ilitumbukia kwenye bahari na Kwa bahati mbaya baada Tu ya kutumbukia ilipasuka hivyo kupelekea kupasuka kwa miamba chini ya bahari na matokeo yake kutoka aina moja wapo ya samaki wanao onekana hapo... Na walianza kuwashambulia na kuwala watu wote walio ndani ya maji

Ni nani ana hizi imagination za hawa viumbe wa ajabu ajabu, nikiangalia horror movie zinaelezea kuhusu zombies na madude ya ajabu ajabu...

Nahisi soon tunaweza kukumbana na haya makitu...

Dunia si salama


Sent using Jamii Forums mobile app
Ni Piranha au
 
Back
Top Bottom