Chengshan
JF-Expert Member
- Feb 25, 2022
- 248
- 627
kutoka saa 10 mpaka saa 1 yupo bank,, wale walinzi wa SGA hawakumtilia shakaChawa Pro MaxView attachment 2436794
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
kutoka saa 10 mpaka saa 1 yupo bank,, wale walinzi wa SGA hawakumtilia shakaChawa Pro MaxView attachment 2436794
LoooohKule wanarogana hatari. Sitatoboa!![]()
,nawe utatumia uchawi wa kidhungu babu
Kwann Ks?Ila kuna muda wanaume huwa nawaelewa. Unadate vipi na mtu wa hivi hata ningekua mimi ni ndio mwanaume nakula kona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nazungumzia watu wanaolia shida kupitiliza ni kero wakati mwingine. Kulia shida mara moja moja kawaida ila isivuke kipimo.Kwann Ks?
kuna sehemu huyo mwana dada kakosea?
Suala wala siyo kuabudu. Ni zaidi yake...
View attachment 2438401
Nimekuelewa mkuu. Inabidi tujikongoje na ikibidi tukimbie kabisa maana tumechelewa sana!Nakuelewa kiongozi, kuna tatizo kenye bara letu ila it's not all gloomy, kuna jitihada tu zinafanywa, kunao tunajaribu pia..
![]()

Nimekuelewa mkuu. Inabidi tujikongoje na ikibidi tukimbie kabisa maana tumechelewa sana!
Unaonekana hapa kwa shida siku hizi kulikoni? Huko Juba wamekuongezea majukumu ama nini?
Stay blessed bro![]()


