Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

PICHA lilianzia hapa, yakapakwa Rangi kiustadi sana, yakavalishwa manailon kama boflo, na kila Moja tukauziwa kwa billion mbili na ushee....Sasa zidisha mara 52 utagundua kiasi tulichopigwa na UTAWALA huu.HakyaMungu Hatutanyamaza, labda mtuuwe.!![emoji23]
20221208_094300.jpg
 
PICHA lilianzia hapa, yakapakwa Rangi kiustadi sana, yakavalishwa manailon kama boflo, na kila Moja tukauziwa kwa billion mbili na ushee....Sasa zidisha mara 52 utagundua kiasi tulichopigwa na UTAWALA huu.HakyaMungu Hatutanyamaza, labda mtuuwe.!![emoji23]View attachment 2439281
Daah, yani wameyatoa dampo halafu wakatuuzia!
 
Back
Top Bottom