Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,378









Inahusianaje na sms alizonitumia mpenzi wangu?Nazungumzia watu wanaolia shida kupitiliza ni kero wakati mwingine. Kulia shida mara moja moja kawaida ila isivuke kipimo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliyegundua make up ana sehemu yake maalumu motoni
Niliishia kumuuliza vipi wee mgeni huku dodoma? 🤣🤣🤣🤣 Udomo zege tabu sanaVipi kaka yule demu wa kwenye bus ulimkula???
Aliyegundua make up ana sehemu yake maalumu motoniView attachment 2439197
Nilikuelewa tofauti, samahani.Inahusianaje na sms alizonitumia mpenzi wangu?
Bila samahani dear.